ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 16, 2014

EDDAH'S VALENTINE PARTY ILIKUA IMETULIA SANA

 Vincent Ndusilo, Baba mwenye nyumba wake Eddah akiongea machache kuwashukuru wote waliofika na kufungua Eddah's Valentine Party rasmi siku ya Jumamosi Feb 15, 2015 Lanham, Maryland.
 Mkurugenzi wa Miss Tanzania USA Pageant Ma Winny Casey alikua na mmoja ya wahuzuriaji kwenye Eddah's Valentine Party.
 Wadau mbalimbali waliojumuika kwenye Eddah's Valentine Party iliyofanyika Lanham, Maryland.
 Wadau waliojumuika pamoja huku wengine wakipata ukodak moment.
 Vijana wazamani katika picha ya pamoja.
 Mambo kama unavyoyaona katika picha.
 Wakurugenzi wa Metro Tires katika picha ya pamoja.
Mdau akipata picha 
Bofya soma zaidi upate mapicha ya misosi angalia tu udenda usije ukakutoka na kuchafua Computer yako


4 comments:

baraka daudi said...

Job well done dada Eddah

Anonymous said...

WOWW!! CHAKULA KIZURI KWELI DENDA LAWEZA KUKUDONDOKA KAMA MR DJ LUKE ALIVYOSEMA .

Anonymous said...

it y very nice keep it up Eddah we will always support u.

Anonymous said...

i never seen something like this. u out did your self my sister. gud job !