ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 2, 2014

JK AONGOZA SHEREHE YA MIAKA 37 YA CCM MKOANI MBYEYA


 Mwenyekiti CCM Taifa Rais Jakaya Kikwete akiwasili kwenye uwanja wa kumbukumbu wa Sokoine jijini Mbeya kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi yaliyofnyika leo Jumapili Mkoani humo.
 Mwenyekiti CCM Taifa Rais Jakaya Kikwete akitembea kuelekea jukwaa kuu huku akiwapungia wafuasi wa chama hicho waliokuwa kwenye uwanja wa kumbukumbu wa Sokoine jijini Mbeya kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi yaliyofanyika leo Jumapili Feb 2, 2014 Mkoani Mbeya.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Kikwete akiwa ameshika alama inayotumiwa na chama hicho inayoashiriwa wafanyakazi na wakulima kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi yaliyofanyika leo Jumapili Feb 2, 2014 katika uwanja wa kumbukumbu wa  Sokoine Jijini Mbeya.
 Wafuasi wa CCM wakirusha njiwa 37 kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi yaliyofanyika leo Jumapili Feb 2, 2014 Mkoani Mbeya.
Mwenyekiti CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete akihutubia kwenye maadhimisho ya miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi yaliyofanyika leo Jumapili Feb 2, 2014 jijini Mbeya katika uwanja wa kumbukumbu wa Sokoine.
PICHA NA IKULU

1 comment:

Anonymous said...

ngoa hizo siku hizi hata hazitumiki siku hizi sembe kwenda mbele ndo kinachotawala habari ndo hiyo wadanganyika wameshafunguka macho