Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akimkabidhi kadi ya chama hicho, aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Kibaha Mjini, ambaye pia alikuwa Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Kata ya Kongowe, Joseph Baziry, wakati wa mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika mjini Kibaha leo
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa mji wa Kibaha, katika mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika mjini Kibaha, Pwani leo
No comments:
Post a Comment