PONGEZI KUTOKA CCM DMV
TUMEPOKEA KWA FURAHA KUBWA KWA USHINDI MKUBWA NA WA KISHINDO ALIOUPATA MH MAHMOUD THABIT KOMBO KWA KUCHAGULIWA KUWA MWAKILISHI WA JIMBO LA KIEMBESAMAKI TUNACHUKUA NAFASI HII KUKUPONGEZA WANACHAMA WOTE WA CHAMA CHA MAPINDUZI NA WANANCHI WOTE WA JIMBO LA KIEMBESAMAKI KWA KUKAMILISHA UCHAGUZI NA KUMPATA MWAKILISHI TUNAYEMUHITAJI UMOJA NA MSHIKAMANO NI USHINDI
No comments:
Post a Comment