Uwanja ulikuwa safi hali ya hewa ilitulia hakukuwa na theluji wala upepo masaa 12 baadae baada ya super bowl kupita mambo yalikuwa hivi.
Baada ya masaa 12 kupita toka super bowl 48 kwisha, Mother Nature kama kawaida theluji ikafunika na kuonekana hivi.
No comments:
Post a Comment