ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, February 18, 2014

VIJIMAMBO KUTOKA FACEBOOK KWA WATANZANIA NA UVUNJAJI WA SHERIA

Wakikamatwa hawa Utasikia Serikali Korofi!!Tufanyaje Watanzania ili tuweze Kufuata Sheria?

3 comments:

Anonymous said...

Njia pekee na inayotumika hata ktk mataifa yaliyo endelea ni kwakuwa na serikali adilifu inayo simamia sheria bila kutoa mianya ya rushwa.

Anonymous said...

Mnada wa visiwa vya Zanzibar umeanza rasmi kwa thamani ya wenye kutapia vyeo bila kuzingatia matakwa ya wananchi wa Zanzibar waliowengi. Tanganyika has nothing to lose!!.

Anonymous said...

Acheni kutoa Rushwa.....