Kibodya itakayofanyika Springfield. MA jumamosi hii ya tarehe 29 kuanzia saa 10 jioni.
Arobaini hiyo pia itafanyika na nyumbani Dodoma Tanzania siku hiyo hiyo ya tarehe 29. Bwana Kibodya anaomba uwepo wako ndiyo mafanikio ya shughuri yenyewe, Tafadhali waarifu na wengine. Kwa niaba ya familia natanguliza shukran.
Address ya sehemu ni hii hapa.
Al Baqi Islamic Centet 148.
Fort Pleasant Ave,
Springfield, MA 01108.

No comments:
Post a Comment