Patricia akiwa kwenye Bash ya siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika Washington, DC siku ya Jumamosi March 8, 2014 na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki wa siku nyingi.
Patricia akipuliza mishumaa kwenye keki yake ya siku ya kuzaliwa.
Patricia akipata picha wakati wa chakula.
Patricia katika picha ya pamoja na dada na kaka na wadogo zake
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment