ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 9, 2014

TASWIRA NDANI YA MGAHAWA WA SEAS AND SAVANNAHHS TEANECK NJ SIKU YA MWANAMKE DUNIANI

Mezani tayari kwa dina
Dr Temba na mama mwenye nyumba wake
Ukodak baada ya dina
Erick akifanya vitu vyake jikoni
Mandhari ya mgahawa wa Seas and Savannahhs ndani, Chakula cha Seas and Savannahhs ni maridadi kabisa na kwa bei nafuu....!! Tembelea siku moja na utaenjoy.

1 comment:

Anonymous said...

Baba na mama Temba , tokelezea sana ! Afafhali Dr Temba umetupa Yale magwanda !!