ANGALIA LIVE NEWS

Friday, March 28, 2014

BENJA USO KWA USO NA DJ MKONGWE JOHN PETER PANTALAKIS

Mzee wa kijiwe cha ughaibuni Benja Mwaipaja katika picha ya pamoja na Dj mkongwe mtoto wa kigiriki John Peter Pantalakis enzi hizo akienda sambamba na Dj mwenzake mkongwe Choggy Sly ambaye ameishatangulia mbele ya haki. Benja na Dj John Peter Pantalakis walikutana kwenye kiota kipya kinachotesa kwa Olskul Bongo kila siku ya Ijumaa kinachobeba jina la City Sports & Lounge

No comments: