ANGALIA LIVE NEWS

Friday, March 28, 2014

Maganga aliyokua akijaribu kuiteka gari ya mama wa kizungu huko Omaha

Huyu ndiyo Maganga aliekuwa anajaribu kupora gari huko Omaha.
Kijana mmoja mwenye jina la Maganga Maganga anashikiliwa na Polisi Omaha kwa kujaribu kuteka gari aina ya Dodge Caliber iliyokua stick shift (gia) inasemakena alishindwa kuendesha gari hiyo baada ya kumtokea mama alliyekua akimpeleka mtoto wake wa miaka 13 shule ndipo Maganga Maganga alipotokea na bastola na kumuamuru mama huyo kushuka na kujaribu na kujaribu kuondoka na gari lakaini stick shift ilimshinda kuendesha na baadae polisi waliwasili na kumtia mkononi. Sasa hivi Maganga Maganga mwenye umri wa miaka 17 yupo nyuma ya nondo akisubili kufikishwa mahakamani kwa kuangalia Video ya tukio BOFYA HAPA

1 comment:

Anonymous said...

I hope huyo Maganga Maganga siyo mtanzania, kwani I cannot imagine tumefikia hatua hiyo..