"ETI
WAGANGA WENYEWE NDIO HAWA !WALIOKUWA WANAZUZA WILAYANI KWANGU KWA
MINAJILI YA KUTOA WACHAWI NA KUSABABISHA SHUGHULI ZOTE ZA UJENZI WA
TAIFA KUSIMAMA! YAANI HAWAJAI HATA KWENYE MKONO ! NIMEKASIRIKAJE !
NIMEWACHIMBA MKWARA SITAKI KUWAONA KABISA NA WAMESAINI KIAPO CHA
KUTOFANYA SHUGHULI HIZO HAPA WILAYANI KWANGU !"
No comments:
Post a Comment