ANGALIA LIVE NEWS

Friday, March 28, 2014

HALI ILIVYO ENEO LA JANGWANI BAADA YA MVUA KUNYESHA JIJINI DAR

Hivi ndivyo maji yanavyo onekana kujaa katika makazi Jangwani
Baadhi ya watu wakionekana nje baada ya maji kuingia ndani.

Muonekano wa nyumba pamoja na njia ndogo ndogo zikiwa zimejaa maji.
Picha na Husein wa Dar es salaam yetu Blog

No comments: