ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, March 4, 2014

JUST IN!! RIDHIWANI KIKWETE ASHINDA KURA ZA MAONI JIMBO LA CHALINZE,SASA KUWANIA UBUNGE

 
HONGERA SANA NDG.RIDHIWANI JAKAYA MRISHO Ridhiwani Kikwete KWA KUONGOZA KURA ZA MAONI 758, TRH 9/3 KUCHUKUA FOMU TRH 11/3 KURUDISHA UZINDUZI RASMI WA KAMPENI TRH 15/3 CCM TUTAZINDUA RASMI WALIOPIGA KURA 1321 ZILIZOHARIBIKA NI 5, KURA HALALI 1306.

7 comments:

Anonymous said...

Nchi isiyokwisha chaguzi :( uchaguzi mkuu si ni mwakani? Kwa hiyo wabunge wote waliochaguliwa 2013/14 watalazimika kuomba kuchaguliwa tena 2015? Hivi ni kweli serikali nzima inafikiri kwa makalio au ndiyo kutojali ? Walimu wanalilia mishahara yao lakini wanaambiwa serikali haina pesa: ( watoto wanakaa chini mashuleni serikali haina pesa:( vijana wanakuwa vibaka serikali haina ajira:( wakina mama wajawazito wanalazwa sakafuni hospitalini serikali haina pesa:( SASA HIZI BILLIONS ZA CHAGUZI NDOGO KILA MWAKA ZINATOKA WAPI? Ni kwa nini hatuna njia mbadala ya kurithisha hivi viti vya ubunge vinapoachwa wazi kwa vifo au mengineyo? Ni ujinga kiasi gani huu?

Anonymous said...

nchi yao hii nchi ya wajanja kurisiana kama wafalme halafu mnawatukana wafalme na eti kujidai mmewangoa wakoloni na masultani/wafalme tanzania mweee sasa haya yapi

Anonymous said...

The Royal Kingdom of Tanzania, good on you kijana, karibu

Anonymous said...

Wabongo bado tumelala, tutaamke 25 century, the Royal Kingdom of Tanzania, mama baba na wattoto

Anonymous said...

But we encourage this, tunawanyenyekea mno as if wao tu ndiyo awliletwa na mungu kutuongoza

Anonymous said...


Jamani George W Bush, George Bush Sr. Jeb Bush

Anonymous said...

Wamarekani wakipokezena Baba, Mama, watoto aka the Kennedy's, Bushes and Clinton's n.k hamsemi chochote, tema mwasifia!!! Akili za kimya do na za kutawaliwa hizo. Kura imepigwa na ameshunda. Inakupa tabu gani hiyo? Hebu tuache kutojiamini na tuwe na akili za kujiamini. Iwapo kura zilikuwa si halali hilo lingine. Lakini watu wamepiga foleni - picha tumeziona wote, makasha wote tumeyaona na yamehesabilwa pale pale. Malalamishi yasiyo na msingi ni kudhalilisha demokrasia ya kwetu sisi wenyewe! Wake up Tanzania. Mbona tuna hulk a ya kujidhalilisha tu! C'mon!