Klabu ya Azam FC inawatakia kila la kheri wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Klabu Bingwa Dar Young Africans ipate ushindi au sare na kuweza kuwatoa Al Ahly.
Ushindi wa Yanga leo ni ushindi wa watanzania wote. Mungu Ibariki Yanga, Mungu Ibariki Tanzania
No comments:
Post a Comment