mshkaji aliyevaa sharti nyekundu jamaa kweli mungu akusamehe kama ulivyosema akusemehe kweli bwana.
hakuna kupiga mashada wala kulewa fateni sheria za mungu bwana.
msiizinishe vitu eti obama kasema come on guys vyetu vina adhari wana taka kuhalalisha ili watu wapote zaidi na pia kkupata mapato that is it hakuna zaidi ya hapo na waathirika zaidi ni watu weusi so let them drink and smoke bhangi bangi..
DAVID MWANANGU UME KUWA DOCTOR UNAFAFANUA KINOMA NOMA INAONYESHA UMEPIGA RESEARCH SI MCHEZO TUAMBIY HICHO KITABU GHANI UMEKISOMA AU SIRI YAKO
HONGERA AND THANK YOU GUYS KWA KUTUWEKEA HIZI CLIPS HUWA NIKIONA NABURUDIKA KWELI NA KUELIMIKA.
WIFE WANGU NI MTANZANIA ANAPIGA BANGI SI MCHEZO HAKATAZIKI WALA HAABILIKI NA AKIPIGA BASI FURAHA ILIYOJE NAKUWA NIKO PEPONI HATA CHEKI YAKE YOTE ANA NIFANYIA SHOPPING ETC.
LAKINI HUWA SIPENDI TABIA HII YAKE YA KUVUTA BANGI SIJUI NITAMKATAZA VIPI
2 comments:

fateni mungu nyiny vijana

Post a Comment