Carol Mbilinyi enzi ya uhai wake
KWA WENZANGU WANA PAZI,DADA YETU CARO MWAISELAGE MBILINYI ANAZIKWA KESHO TAREHE 9 MARCH 2014 KWENYE MAKABURI YA KINONDONI SAA 9 MCHANA SHUGHULI ZA MISA ZITAFANYIKA KANISA LA KILUTERI UKONGA TUJITAHIDI KUMSINDIKIZA DADA YETU KWENYE SAFARI YAKE YA MWISHO.KWA TAARIFA ZAIDI TUNAWEZA KUMPIGIA SIMU KAKA YAKE DR. JULIUS MWAISELAGE KWENYE NO. 255754764412,MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI
NA VIJIMAMBO ILIWEZA KUONGEA NA MUME WA MAREHEMU CHRIS MHOKA YEYE ATURUDI DMV SIKU YA JUMANNE MARCH 11, 2014
No comments:
Post a Comment