ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 29, 2014

MISS TANZANIA USA PAGEANT JOY KALEMERA AINGIA NUSU YA MISS AFRICA USA PAGEANT

Mshiriki wa Tanzania kwenye mashindano ya walimbwende ya Miss Africa USA Pageant Joy Kalemera akipata picha wakati akijiandaa kwenye ushiriki wa mashindano hayo ya kumtafuta Miss Africa USA Pageant yaliyofanyika Washington, DC March 22, 2014 katika ukumbi wa Fraser Mansion uliopo 1701 20th ST. Joy Kalemera alishinda tuzo ya Scholarship iliyotolea na waandaaji wa mashindano hayo chini ya mkurugenzi wake Lady Kate.
Miss Tanzania USA Pageant Joy Kalemera akiingia ukumbini.
Mkuu wa Utawala na fedha Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mama Lily Munanka akipata picha na Miss Tanzania USA Pageant Joy Kalemera.
Picha ya pamoja ya mamiss kutoka kushoto ni Miss Rwanda, Miss Tanzania, Miss Gambia na Miss Kenya.
Kutoka kushoto ni Diana mmoja ya waandaaji wa Miss Tanzania USA Pageant, Miss Tanzania USA Pageany Joy Kalemera, Ma Winny Casey Mkurugenzi wa Miss Tanzania USA Pageant, Asha Nyang'anyi mmoja ya waandaaji wa Miss Tanzania USA Pageant, Joha Nyang'anyi shabiki wa Miss Tanzania USA Pageant na Mama Lily Munanka Mkuu wa Utawala na Fedha Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi


No comments: