Kijana wa Kinorway kaamua kujichora tattoo yenye mfano wa receipt ya Mc Donald. Alisema aliamua tu kufanya hivyo kama kumbukumbu ya siku ya jumatatu alikula menu ya Mc Donald.
Habari ndiyo hii unaweza kuona hadi gharama ya vitu walivyokula yeye na rafiki zake siku hiyo na aliondoka na receipt hadi kwa fundi wa tattoo na kufanya kweli juu ya mkono wake wa kulia.
No comments:
Post a Comment