ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, March 6, 2014

MOTHER NATURE YAFANYA KWELI WENGINE WAKITENGENEZA PESA KWA KUWAVUSHA WATU KWENYE MAJI

Dereva wa Bodaboda, akiwa na abiria wake, wakinyanyua miguu kukwepa kulowa na maji ya mvua yaliyofurika kwenye barabara ya Mbozi, Chang'ombe jijini Dar es Salaam jana. Mvua ya siku mbili tu tayari imeanza kuleta kasheshe, si kwa wenye magari pia wenye bodaboda, watembea kwa miguu.
Mto Msimbazi baada ya mvua zilizo nyesha kwa siku mbili jijini Dar- es -Salaam
PICHA ZOTE KWA HISANI YA K-VIS BLOG.

No comments: