Mrembo aliyeng’ara kwenye Shindano la Miss Tanzania mwaka 2011, Hamisa Hassan ‘Mabeto’
Akipiga stori na Ijumaa, Mabeto alisema awali alikuwa muoga lakini taratibu alianza kumzoea kiumbe huyo na sasa humtumia hata katika shughuli zake za kimodo anazofanya.
Hamisa Mabeto ni mrembo anaejishughurisha na mambo ya urembo ni mrembo hasa ndiyo maana anaipenda kazi yake hiyo ya urembo. Mabeto hizi ni moja ya picha zake akiwa kwenye kazi hiyo aipendayo kwa dhati. Huyo ndio Mabeto mrembo wa Kitanzania mwenye urembo hasa.
No comments:
Post a Comment