ANGALIA LIVE NEWS

Friday, March 7, 2014

TAARIFA YA MSIBA DMV NA TANZANIA


Carol Mbilinyi enzi ya uhai wake

Habari Vijimambo ilizozipata hizi punde, dada, yetu, mama yetu aunty yetu Carol Mbilinyi amefariki dunia akiwa Tanzania alikokuwa amekwenda kwa likizo.

Carol Mbilinyi maarufu kama mama wa mapambo wengi watamkumbuka kwa mapambo kwenye sherehe nyingi zilizofanyika hapa DMV. Mara ya mwisho marehemu alikuwa nafanyakazi na Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kama msaidizi wa Mwambata wa jeshi wa Ubalozi huo uliopo Washington, DC.

Timu ya Vijimambo inatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kwenye msiba huu wa kuondokewa na mpendwa wetu.

7 comments:

Anonymous said...

oh Da Carol tutakukumbuka daima.tulikupenda lakini mwenyezi mungu kakupenda zaidi .Kapumzike kwa amani dada yangu.Wenyezi mungu awapanguvu wanao,mumeo na ndugu zako wote.

mdogo wako kutoka DMV

Anonymous said...

Duniani tupendane. Life is too short. R.I.P. Carol.

Anonymous said...

poleni sana wafiwa mungu awape nguvu katika hiki kipindi kigumu

Anonymous said...

Dada carol I love you!! your children my God!! are my angels!! Sikujuwa yangekuwa haya dada, nashindwa kusema pumzika maana nahisi imekuwa ni mapema dada!! Your smile, beautiful voice, loving care of the children God! I will miss you!!
Raha ya milele mpenzi wangu Mwenyezi mungu akupatie!

Oh I will dearly miss you!

Anonymous said...

Carol

May Your Dear Soul Rest In Eternal Peace. May the Good Lord give strength to your family at this difficult time.

Alu & Julius Nyang'oro
NC

Anonymous said...

Jamani haya maisha yamekuwa mafupi haswa mpaka inatisha,poleni sana wafiwa, R.I.P dada yetu mpendwa

Anonymous said...

Pole sana Chris na watoto Mungu akupe nguvu na akuongezee mapenzi mengi zaidi kwa watoyo katika wakati huu mgumu. Mungu ailaze mahala pema roho ys mpendwa wetu Carol. Mapenzi ya Mungu yatimizwe.