ANGALIA LIVE NEWS

Friday, March 28, 2014

TASWIRA YA JIJI LA NEW YORK CONCRETE JUNGLE WHERE DREAM ARE MADE

New York the city the never sleep concrete jungle where dream are made....
Hapa ni New York Macy's duka kubwa la Macy's kuliko yote duniani..duka hili lina urefu wa ghorofa 7.
The New York Empare State building..Jengo lenye urefu wa feet 1,250 sawa na M 381.
Hapa ni New York Broadway and 7 Ave
New York Times Square....
New York Central Park ni park kubwa kuliko zote duniani inaukubwa wa acres 843..sawa na Km 4. 
Statue Liberty inaurefu feet 305 sawa na M 93 Statue ni kisiwa kilicho katikati ya Mto Hudson unaotenganisha New Jersey na New York hii ilianza kujengwa mwaka 1875 na kufunguliwa rasmi mwaka 1886.

3 comments:

Anonymous said...

uongo dream gani zina made huko NY,nimeishi na kuiona hiyo NY, BORA manzense kuliko huko watu huko wana struggle sana tena wengi hawana hata elimu wala bima ya afya.
DREAMS ARE MADE IN MANZENSE BWANA USISIKIYE

Anonymous said...

Wewe uliyetoa hiyo comment ya kashfa kuhusu NY huna lolote , nenda kakojoe ukalale

Anonymous said...

wewe wa hapo mwanzo unaelekea unazungumzia NY ya pale manzese kulikotuwama maji na bati zenye full asbestos.