Baadhi wa watu wakiwa katika heka heka
na
mizunguko yao karibu na Barabara ya lango kuu la kuingilia katika
kituo hicho cha mabasi yaendayo mikoani.
Na Riziki Mashaka.
Wafanyabiasha wa bidhaa ndogo ndogo
wakiwa katika eneo hilo la soko, mbele kidogo ni basi lililobeba abiria
tayari kwa kuanza safari.
Abiria akipanda katika basi ndogo aina ya costa maarufu kwa jina la ILOMO.
Banda la kupumzikia abiria katika eneo hilo la kituo cha mabasi yaendayo mikoani.
Basi aina ya Super King likiwa limebeba abiria tayari kwa safari.
Eneo la Nyuma la kituo hicho cha mabasi yaendayo mikoani.
Mjengwablog
No comments:
Post a Comment