ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, March 4, 2014

Rais Kikwete akagua madaraja ya kijeshi



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akikagua madaraja ya kijeshi yakiwemo yale ya kuelea juu ya maji wakati alipokagua zana za kijeshi jana, Jumatatu, Machi 2, mwaka huu, 2014. (Picha na Freddy Maro wa Ikulu).

2 comments:

Anonymous said...

mme pewa msaada na nani haya madaraja na kwa lengo gani, dj luke tueleze zaidi tujuwe wadau wako.

Mtanzania, Washington, DC said...

Anonymous hapo juu huelewi what national security is all about. Tanzania tumekuwa mstari wa mbele katika masuala ya ulinzi wa mipaka yetu. Mdau, unaonekana very ignorant, I am sorry to say that! Just imagine, jinsi wanajeshi wetu wanavyosaidia kulinda amani DRC, Darfur, South Sudan, Lebanon, etc. On top of that, we have lingering border issue with Malawi, and unstable neighbours like Rwanda, just to mention a few. Where are you mdau ambaye huna clue ya world events? Unafanya nini hapa Marekani, kama huna hata simple knowledge ya nchi yako. I am sure, you are smarter than that! Please, Dj Luke, don't give audience to people who don't want to re-educate themselves. Tanzania italindwa na Watanzania shupavu!