Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga Kupitia Chama cha Mapinduzi Bw. Godfrey Mgimwa akishiriki kupiga ngoma ya asili ya Kihehe wakati alipowasili katika kijiji cha Kikombwe Kata ya Lwamgungwe katika jimbo la Kalenga Wilaya ya Iringa vijijini mkoani humo leo kwa ajili ya mkutano wa kampeni ambapo uchaguzi wa kuziba pengo la aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Marehemu Dr. William Mgimwa utafanyika Machi 16 mwaka huu.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KALENGA) Mngombea ubunge wa jimbo la Kalenga Kupitia Chama cha Mapinduzi Bw. Godfrey Mgimwa akizungumza na wananchi katika kijiji cha kikombwe katika kata ya Lwamgungwe. Mngombea ubunge wa jimbo la Kalenga Kupitia Chama cha Mapinduzi Bw. Godfrey Mgimwa akipungia mkono wananchi mara baada ya kuwasili katika eneo la mkutano kijijini Kikombwe Mngombea ubunge wa jimbo la Kalenga Kupitia Chama cha Mapinduzi Bw. Godfrey Mgimwa akishiriki kucheza ngoma ya kihehe pamoja na msanii Dokii katika mkutano huo. Katibu wa CCM mkoa wa Mtwara Bw. Akwilombe akiwahutubia wananchi katika kijiji hicho. Umati wa wananchi waliohudhuria katika mkutano huo wakisikiliza hotuba mbalimbali za viongozi katika mkutano huo kijini Kikombwe. Katibu wa CCM mkoa wa Mtwara Bw. Akwilombe akiwahutubia wananchi katika kijiji hicho. Wananchi wakicheza ngoma katika mkutano huo Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga Kupitia Chama cha Mapinduzi Bw. Godfrey Mgimwa akipokewa kwa shangwe katika kijiji cha Lupembelwasenga kata ya Lwamgungwe
ANGALIA LIVE NEWS
Tuesday, March 4, 2014
MGOMBEA UBUNGE GODFREY MGIMWA AENDELEA NA KAMPENI JIMBO LA KALENGA

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment