ANGALIA LIVE NEWS

Friday, March 28, 2014

The Avenue-Mrisho Mpoto

Kwenye The Avenue Mawazo Huru leo tupo na Msanii/mwanaharakati/mhamasishaji kwa vijana Mrisho Mpoto ambaye yeye ni mmoja wa watanzania vijana wanaohusika na kampeni ya FURSA ambapo rais JK pia aliwapa baraka zake...lakini je vijana wa Taznania wanapata fursa? na hizo fursa wanazitumia? angalia kipindi hiki, kipindi hiki kinaruka TBC1 kila jumamosi saa 3 usiku na marudio saa 8 mchana jumatatu. please tufuate facebook page: the avenue mawazo huru na twitter " @mawazohuru au @anganile asante kwa kuangalia na subscribe

1 comment:

Anonymous said...

luke ubarikiwe daima bro kwa kazi yako njema unayotuleta vipindi hivi vizuri katika blog yako mungu akubariki sana bro

and one thing wabiye jamaa basi waweka muziki wa kinyumbani katika hii clip midundo ya kizungu si fresh wakifanya hivyo itakuwa bab kubwa.ushauri tu okay take care bro