ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 8, 2014

TODAY SATURDAY EVENT IN TEANECK SEAS AND SAVANNAHS INTERNATIONAL KITCHEN

Jumamosi hii ya tarehe 8 ni siku ya wanawake  duniani  njooni tuwaenzi wanawake kwakukutana Seas and Savannahe International Kitchen kwachakula cha kitanzania na vinywaji. Njoo tuungane na kusherehekea siku hii kwani wanawake ndiyo chachu ya maendelea na familia bora. Kiingilio ni bure  njoo  tule tunywe na tucheze muziki kuanzia saa 2 Usiku hadi saa 8 usiku, (Chakula kinapatikana kwa bei nafuu).
Saturday event in Teaneck, I gotchu!NJ at Seas and Savannahs International Kitchen
Seas and Savannahs International Kitchen

299 Queen Anne Road
Teaneck, NJ 07666
(201) 530-7338

6 comments:

Anonymous said...

eeh dj tahih bilal nimefurahi kukuona mkuu fanya fanya vitu vyako mwanangu tutakuja kujirusha

Anonymous said...

Eric umefunika mtu wangu...ni mimi mdau wa Sweden a.k.a mwangaruka mayo

Anonymous said...

congratulations!the place looks very classic.mtu wa boxie kama mimi ntapamudu?trust it looks great .

Anonymous said...

how much it cost mlo wa afya kama huo per plate? tuambiyeni tujipange tusije tukaja tukaadhirika bureee kwa pesa zetu mbuzi

Anonymous said...

Wmanao sijakujua?? Hahaaa

Anonymous said...

wabongo siku hizi tumeendelea, tunakula salad? zamani zile ungesikia hicho ni chakula cha mbuzi. salad ina manufaa mengi kwa mwili