ANGALIA LIVE NEWS

Friday, March 28, 2014

WACHINA KESI YA SAMAKI WA MAGUFURI WASHINDA RUFAA

RAIA WA KIGENI wawili Tsu Chin Tai na Zhao Hanqueing waliokuwa wanatetewa na wakili John Mapinduzi na Ibrahim Bendera, Februali 23 Mwaka 2012 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ,iliwakuta na hatia katika kwa kosa la kufanya uvuvi haramu katika bahari ya Hindi Ukanda wa Tanzania, maarufu kesi samaki wa Magufuli"kifungo Cha jumla ya Miaka 30 Jela au KULIPA faini ya sh. Bilioni 22,Leo Mahakama ya Rufaa imewaachilia Huru baada ya kuona hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu ilikuwa na makosa ya kisheria. Ila washitakiwa Hao wamerejeshwa gerezani kwaajili ya Taratibu nyingine za JESHI Hilo la Magereza ili wawe za KUACHILIWA Huru.

1 comment:

Anonymous said...

Labda tumeingia kwenye mkataba wa kubadilishana wafungwa.Tusubiri tuone kama wakwetu 300+ walioshikwa kwa kuingiza unga China watatoka kirahisi namna hiii..kwani haiingii akilini kuona serikali inaloose kwenye high profile case km hii , eti kwa kutofuata taratibu.