WAZIRI MKUU MHE. PINDA NA MATUKIO BUNGE LA KATIBA
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba,
Bungeni mjini Dodoma Machi 3,2014. Kushoto ni Kingunge Ngombale-Mwiru,
Kulia ni Freeman Mbowe na Wapili kulia ni James Mbatia. (Picha na Ofisi
yaWaziri Mkuuy)Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, wakitoka
kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Machi 3, 2014 baada ya kusitishwa
shughuli za Bunge Maalum la Katiba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment