ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 6, 2014

Angalia magari manne ya kifahari anayomiliki producer huyu wa bongo !!!

Nadhani ulipata muda wa kuyaangalia magari ya kifahari wanayomiliki wasanii wa bongo , sasa ni zamu ya judge wa Tusker Project Fame na Producer hatari hapa bongo kutoka B’Hits namaanisha  Hermes Baraka au  Hermy B kukuonyesha magari ya kifahari anayomiliki. Hermy B anamiliki Toyota LandCruiser VX, Range Rover Sport, Nissan Murano and a BMW 3-Series.Duh! noma sana aisee :-)
Hermy_B_cars_vibe


No comments: