Bara
la Ulaya sasa hivi ndio linashika nafasi tatu za juu kwenye ligi ya
FIFA/Coca-cola World Cup baada ya Portugal kupanda mpaka namba tatu
ikiwafata Ujerumani kwenye nafasi ya pili na Spain kwenye nafasi ya
kwanza.
Namba nne ni South America pamoja na
Colombia, wa tano ni Uruguay na
sita ni wapinzani wakubwa yaani Brazil na Argentina huku Ugiriki wakiwa
wamerudi kwenye kumi bora ambayo hawakuingia tangu October 2012,
Scotland wametoka nafasi ya 22 mpaka 15 sasa hivi.Namba nne ni South America pamoja na
Timu mbili ambazo zimeweza kufikia kwenye nafasi kubwa zisizotegemewa ni Azerbaijan kutoka nafasi ya 85 na ikapanda kwa nafasi ya 6 wakati Afghanistan imetoka 122 na kupanda kwa nafasi ya 5.
Kuna timu ambazo zimeshuka zaidi ya nafasi kumi ambazo ni Albania (nafasi ya 70 mpaka 86), Israel (nafasi ya 78 mpaka 91), New Zealand (nafasi ya 111 mpaka 132)
Mechi sita tu zimechezwa mwezi uliopita na kuna mabadiliko mengi ya FIFA/Cocacola ambayo yanaweza kutumika katika kuondosha timu ambazo hazitakuwa na uwezo wa kuwepo katika michuano hiyo ambapo wenye uwezo wa kuendelea na World cup kwa sasa wamezidi kupungua.
Matokeo mengine kuhusiana na World Cup yatatolewa tarehe 8 May 2014.
No comments:
Post a Comment