ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, April 3, 2014

KATE SPADE AMPA SHAVU FLAVIANA MATATA KUTUPIA NGUO ZAKE

Huyu ni Kate Spade ni mbunifu wa mavazi ya wanawake na bagi za mikononi za wanawake mwenye makazi yake New York. Kate amempa shavu mlimbwende Wakitanzania kutangaza mavazi yake. Pitia picha za mlimbwende huyo alizotupia kisama zaidi.
 Flaviana Matata katika pozi la Kikate Spade kisama zaidi shavu hilo na endelea kung'ara kimataifa. 
Flaviana Matata ndani ya kivazi matata kabisa cha Kate Spade.

Hapa Miss Matata katupia kiwapendanao live bila chenga.....kwa picha zaidi jitiririsheee chini.
 

2 comments:

salim said...

Congratulation my sister...unatisha Flaviana safi sana..

Anonymous said...

Sad but true ..... once you reach 30 modeling is OVA for you so i encourage u to have plan B otherwise we will be the ones to again read about how broke you are, facing foreclosure, mr repoman is chasing you, etc (I hope you have at least an associates degree in something) peace and out