Tangazo kwa Watanzania Waishio Kwenye Diaspora
Katika kuendeleza harakati za Diaspora za kuhakikisha suala la uraia pacha na haki ya kuzaliwa ya Watanzania inayowapa haki ya kuwa raia wa Tanzania haipotei, Jumuiya za Watanzania, DICOTA na ZADIA zimeandaa conference call itakayofanyika Alhamis tarehe 03 April 2014 saa mbili usiku kwa saa za New York.
Safari hii teknolojia mpya ambayo inapunguza makelele na hitilafu kwenye conference calls itatumika na tunategemea kutakuwa na utaratibu mzuri ambao utafanya wajumbe wa kikao kuelewana zaidi bila shida yeyote.
Watanzania wote mnaombwa kushiriki kwenye Conference call hii. Ili uweze kushiriki tafadhali piga simu: (559) 726-1300 na Access Code ni 313128#
Kwa Watanzania wasioishi Marekani mnaweza kushiriki kwa kupiga namba za simu zifuatazo halafu ingizeni access code liyotajwa hapo juu:
Sweden: +46 (0) 8 124 107 12; South Africa +27 (0) 87 825 0106; Portugal:+351 21 005 1186; Spain: +34 911 33 84 80; Turkey:+90 (0) 212 988 1740; Slovakia: +421 2 336 633 06; Netherlands: +31 (0) 6 35205050; Norway: +47 21 93 06 45; Belgium:+32 (0) 4 244 10 83; Israel: +972 (0) 76-599-0022; Cyprus: +357 77 788855; Luxembourg: +352 20 30 10 07; Italy: +39 011 092 0917; United States: (559) 726-1300; France: +33 (0) 1 78 90 06 70; Denmark: +45 78 77 21 83 Germany: +49 (0) 69 1200650760; Ukraine: +380 (0) 89 323 9965; Hungary: +36 1 987 6803; Mexico: +52 (01) 899 274 9983;
Kenya: +254 (0) 20 5231048; United Kingdom: +44 (0) 330 606 0515; Brazil: +55 21 2391-6538; Croatia: +385 (0) 1 8000 053; Malaysia: +60 (0) 11-1146 0033; Australia: +61 (0) 3 8672 0105; Japan: +81 (0) 3-5050-5071.
Kwa wale ambao bado hawajatoa michango kufanikisha harakati hizi mnaweza kufanya hivyo kupitia:http://www.gofundme.com/7jtyuw
Imeandaliwa na Viongozi wa Jumuiya za Watanzania wanaoishi Marekani, DICOTA na ZADIA. Wote Mnakaribishwa.

6 comments:
Guys, the most powerful person in Bongo was in London and many of you had the opportunity to meet and talk to him. Why didn't you ask him to progress this matter. He is progressing the Union so why not uraia pacha if really he wanted to do so. I really don't get it. The president could push it thru CCM and them thru its MPS who are the majority. Tatizo, I think the CCM and its MPs are not serious about it. All the best and good luck.
He was talked to once before when he visited US and his response was "http://issamichuzi.blogspot.com/2009/05/jk-afafanua-kuhusu-uraia-wa-nchi-mbili.html"
nilichogundua mimi wajumbe wa katiba wanafuata misimamo ya vyama vyao..hata tukituma wajumbe 100 hawatobadilisha msimamo wa wajumbe wa CCM ambao ndio wengi kuliko vyama vingine...wako wapi wale ndugu zangu wanaofungua matawi ya CCM kila kona..washawishini viongozi wa chama chenu watusaidie juu ya hilo au nyinyi ni viongozi wa CCM kuonekana kwenye vijimambo tu...,ndugu zangu tutapoteza muda bure..kama CCM wameshakataza wajumbe wake eti unafikiri watabadili msimamo kwako wewe unaotoka nje?hawakubadili msimamo wa wananchi waliowapa kura kwa maamuzi mazito ya bunge watakusikiliza wewe?
You people are not serious,in UK he told you why Members of Parliament doesn't take it seriously.So guys stop talking rubbish and commenting rubbish comment about Tz government and its leadership just concentrate on your dual citizen.But you guys day and night in the Bloggers comment rubbish instead of fighting for your rights.If you don't like the leadership,think there is no development then stay with your American,British etc citizen and enjoy their development.BE SERIOUS GUYS.
Mr. president doesn't like the idea. He once was asked about it here in the US, and his response was "..sasa ninyi mnataka kula huku na kuku?" pretending as if it was a joke. Don't you guys remember? We better stop wasting our time and resources. We are not voters, anyway.
UGUMU UNATOKANA NA TATHMINI ZA HARAKA KWA WOTE WALIOKO UGHAIBUNI, HASA WENYE G/CARD MMESHINDWA HATA KUSAIDIA UMMA SIYO NDUGU ZAKO BALI UMMA. KILA MKIENDA BONGO MNAENDA KUONA KOO ZENU, RAFIKI ZENU NK, HATA JK MNAMWOGOPA KUMWONA JE ATAWAPIGANIA WAKATI HAMJAWHI FANYA CHOCHOTE HATA PALE MTAANI KWAKO KWA AJILI YA UMMA. WAZAZI WAKO WALIFURAHI SANA UNAPOZIDI KUJILIMBIKIZIA MALI WAKASAHAU KUKUJULISHA FALSAFA YA MWALIMU NYERERE. FANYA KWA UMMA WALIOTOA KODI HATA UKAFIKA UGHAIBUNI ILI UMMA UKUFIKIRIE. UTAFIKIRIWA VIPI WAKATI ULISHAWASAHAU WATU WAKO TOKA ZAMANI?
Post a Comment