![]() |
| Hii ni piogiot ya mzee Abdallah mkumbi namba ya gari ni TDZ 558 na unayo iyona kwa mbele ni mgongo wa churaV W.Na huu ni mtaa wa kichwele zamani kwasasa mnauwita mtaa wa uhuru mkabara na nyamwezi na ukienda mbelezaidi utafuatia lumumba, swahili, sikukuu. livingstone na kisha una malizia lumumba ndogo |

1 comment:
It not piogiot it is Peugeot.
Post a Comment