MOROGORO YAINGIA KATIKA MAFULIKO BAADA YA MVUA INAYOENDELEA
Ukiwa
unatokea dar kuingia Morogoro maeneo ya nanenane,Mwembesongo,Mji mpya
ambapo mto Morogoro unapita kwa siku ya leo wapo katika wakati mgumu
baada ya mafuliko kuwakumba baada ya nyumba zao kujaa maji ya mafuliko.
No comments:
Post a Comment