Katika pitapita yake Kamera ya Sufianimafoto, ilinasa Taswira hii ya Bandari ya Dar es Salaam, ikiwa na magari machache ikilinganishwa na siku za nyuma ambapo magari yalikuwa yakizidi kuwa mengi na kufikia mengine kupigwa mnada baada ya wahusika kushindwa kuyatoa bandarini hapo kutokana na gharama kuwa kubwa, lakini ni tofauti na sasa na huenda ni kutokana na kuongezeka kwa Bandari Kavu ya Shaurimoyo ama la.
.Credit:SufianiMafoto



No comments:
Post a Comment