ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 4, 2014

NJOO TUCHEZE STYLE YA "YACHUMA CHUMA" NA SKYLIGHT BAND LEO NDANI YA KIOTA CHA THAI VILLAGE


Video mpya ya nyimbo ya Kariakoo ya Skylight Band...Enjoy.
DSC_0056
Aneth Kushaba AK47 (wa pili kushoto) akiongoza waimbaji wa Skylight Band kutoa burudani burudani kwa mashabiki wao kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0085
Skylight Band na staili yao ya “Yachuma chuma” kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0131
Mashabiki wa Skylight Band wakisebeneka ndani kiota Thai Village usikose burudani ya kipekee leo usiku kuanzia saa 9:30.
DSC_0239
Umati wa mashabiki wakishuhudia burudani ya Skylight Band ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.

1 comment:

Anonymous said...

I MISS BONGO HOME NYUMBANI NI NYUMBANI MUZIKI HUU UMENIKOSHA ROHO YANGU NA PIA KUNITOA MACHOZI NAPA MISS HOME SWEET HOME