Superstar wa filamu za kibongo Riyama Ally
Akizungumza na mwandishi wetu juu ya maisha yake, Riyama alifafanua:
“Mimi siangalii sana maisha ya anasa, naangalia zaidi masuala ya msingi ya jinsi ya kuishi na watu katika jamii na ndiyo maana unaona naishi maisha ya kawaida, siigizi hata kidogo, ukiigiza tu, unaumia.”

1 comment:
nakubaliana naye sana baby huyu anachosema na ni mabinti wachache sana wako wenye fikra zilizoenda shule kama yeye wengi tu wanamasifa na kuwakopi watu na maisha ya kuigiza yasiyodumu katika reality ya kweli.
big up riyama ally na pia ni mrembo mashallah
jamani naweza kupata number yake ya simu na je ameolewa? mbona historia yake hatupi
mdau los angeles usa
Post a Comment