ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 12, 2014

UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA JUX HUKO NCHINI CHINA NI KUFURU


Kuna vitu vingi vilimpeleka msanii Jux nchini China ila moja ya kitu kimojawapo ambacho anakifanya nchini humo ni pamoja na ku shoot video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la NITASUBIRI, Jux ameshea picha hizi katika mtandao wa kijamii wa instagram na kuzungumza juu ya ujio wa video yake hiyo itayokujia hivi karibuni.

Tazama picha jinsi utengenezaji wa video hiyo ulivyochukua nafasi huko nchini china




Ni shidaaaaa...

1 comment:

Anonymous said...

macho ndogo ndogo (wachina)wako juu babake si mchezo