Advertisements

Tuesday, May 13, 2014

BOKO HARAMU

Abuja (AFP)- Jumatatu, Nigeria imekataa masharti yaliyowekwa na kiongozi wa Boko Haramu,Abubakar Shekau kwa ajili ya kuwaachia huru wanafunzi wa kike zaidi ya 200 waliotekwa na wanamgambo wa kiislam.
Waziri wa mambo ya ndani alipoulizwa kama serikali itakataa mapendekezo yaliyotolewa na Shekau katika video mpya ambayo wasichana wanaweza kuachiwa huru mara moja endapo Serikali ya Nigeria itawaachia huru wafungwa wote wapiganaji, alijibu kuwa suala katika swali siyo juu ya Boko Haramu kutoa masharti.

1 comment:

Anonymous said...

It is better for the gvt of Nigeria to find a quick compromise