ANGALIA LIVE NEWS

Friday, May 16, 2014

DIAMOND AONGEA NA JESTINA GEORGE KUHUSU BET NOMINATION 2014 [VIDEO]

Jana nilibahatika kuwa mtu wa kwanza kumhoji superstar Diamond Platnumz mara tu baada ya kuwa nominated kwenye BET Awards za Marekani kwenye kipengele cha Best International Act. Diamond ameeleza furaha yake kupitia hapa hapa Jestina George online TV. Check him out below. 

Samahani kwa kelele za upepo 

No comments: