ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, May 4, 2014

IBADA YA MAREHEMU VINCENT KIPCHUMBA, SILVER SPRING, MARYLAND


Mama mzazi wa Vincent, Dada Jane akiwa kanisani kwenye misa ya kumbukumbu ya maisha ya mwanae Vincent iliyofanyika siku ya Jumamosi May 3, 2014 Silver Spring, Maryland. Vincent alifariki April 24, 2014 jijini Nairobi nchini Kenya akiwa na umri wa miaka 30.

Mchungaji Willy Likekele (kushoto) katika picha ya pamoja na Bishop Darlingston Johnson wakifuatilia Ibada

Margaret Gathesha akisoma wasifu wa marehemu

Irene Luseneka akisoma shairi linalosema "tomorrow Starts without Me"

Judith Imoite akiwa kama mshereheshaji wa Ibada,

Kwaya ya nyimbo za injili ikiumbuiza kwenye ibada hiyo.

Ibada ikiendelea kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: