ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, May 4, 2014

TAIFA STARS NA MALAWI FLAMES ZATOSHANA NGUVU;UWANJA WA SOKOINE


Pichani Juu,Ni Osika Joshua akikabiliana na Mchezaji wa Malawi,Uwanjani Sokoine,Mbeya.

Kocha mpya wa Taifa Stars Mart Nooij leo amekiongoza kikosi chake katika uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya na Kutoka sare tasa ya Bao 0-0 dhidi ya Malawi katika Mechi ya Kirafiki,kikosi ambacho kina wachezaji ambao wana Damu Changa na Wakongwe.

No comments: