Ibada ya msiba wa marehemu Mary Mdegella imefanyika Jumamosi My 3, 2014 DMV Georgia Ave Ibada iliyongozwa na Mchungaji Malekela pamoja na mchungani Samson na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki wa karibu
Mchungaji Samson akifanya maombi.
Fenista Msungu mtoto wa marehemu akifuatilia Ibada
Juu na chini ni Watu mbalimbali waliojumuika pamja
No comments:
Post a Comment