ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, May 18, 2014

KURA YAKO NI MUHIMU SANA!! INGAWA DIAMOND ANAONGOZA MPAKA SASA KURA ZA " BET " PIGA KURA HAPA WATANZANIA MUMUWEESHE KUSHINDA


Ni siku chache tu zilizopita toka Diamond Platnumz ametangazwa kuwania tuzo za kituo cha Television cha Marekani BET akiwa ni msanii pekee kutoka Afrika Mashariki kuchaguliwa kuwania tuzo hiyo huku wengine wakitoka Nigeria, Ghana na Togo. (Best International Act: Africa )
Good news ni kwamba katika mchakato wa kura sasa hivi Diamond ameshika nafasi ya Kwanza katika list ya Wasanii wote sita ambapo kama Watanzania wataendelea kumpigia kura kwa kasi na kumzungumzia kwenye mitandao ya kijamii basi anaweza Kushinda Tuzo Hiyo..
Kupiga Kura Ingia hapa>>
VOTE for diamond Platnumz - P Vote: BET Awards 2014 Nominations « V 101.9 FM - http://v1019.cbslocal.com/2014/05/14/jay-z-and-beyonce-make-headlines-again/#pd_a_8047572

1 comment:

Anonymous said...

IS THIS LINK GENUINE FOR VOTING. I HAVE DOUBTS ABOUT THE LINK. I HOPE HATUPIGI KURA HEWA ON THIS LINK.