ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 14, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BIALA AAGANA NABALOZI MTEULE WA TANZANIA, NCHINI SWEDEN DORA MSECHU.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi Mteule wa Tanzania nchini Sweden, Dora Msechu, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa ajili ya kuaga kwa ajili ya kwenda kuanza kazi.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi Mteule  wa Tanzania nchini Sweden, Dora Msechu, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa ajili ya kuaga kwa ajili ya kwenda kuanza kazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na  Balozi Mteule wa Tanzania nchini Sweden, Dora Msechu, baada ya mazungumzo wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa ajili ya kuaga kwa ajili ya kwenda kuanza kazi. Picha na OMR

No comments: