Wednesday, May 14, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA PILI LA WANASAYANSI NA MABINGWA WA TIBA JIJINI DAR LEO.


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la pili la Wanasayansi na Mabingwa wa Tiba, wakati wa ufunguzi huo uliofanyika kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam, leo Mei 14, 2014. Kushoto ni Mwakilishi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Dkt. Jonathan Mbambo (katikati) ni Balozi wa Swewden nchini Tanzania, Lennarth Hjelmaker.  
 Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo.
 Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Akisalimiana na Mjumbe wa Bodi ya MUHAS Prof Mohamed Bakari, wakati alipowasili kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach kwa ajili ya ufungua rasmi Kongamano la pili la Wanasayansi na Mabingwa wa Tiba, jijini Dar es Salaam leo, Mei 14, 2014.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Akizungumza na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Balozi Lennarth Hjelmaker, wakati akiondoka katika Hoteli ya Kunduch Beach baada ya kufungua rasmi Kongamano la pili la Wanasayansi na Mabingwa wa Tiba, lililofanyika leo jijini Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiri wa kongamano hilo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiri wa kongamano hilo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiri wa kongamano hilo. Picha na OMR

No comments: