ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, May 4, 2014

MAONESHO YA TAMADUNI ZA MABALOZI ZAFANYIKA WASHINGTON, DC


 Missy Temeke wa KWETU Fashions akipata picha ya pamoja na Samesh Alfonse (Deputy Chief Representative of the Arab League) kwenye maonesho ya tamaduni ya Mabalozi wa nchini mbalimbali wakiwemo wawakilishi kutoka Tanzania. Pamoja na Missy Temeke pia alikuwepo Mama Winny Casey ambaye ni mkurugenzi na mwanzilishi wa Miss Tanzania USA Pageant.
 Mama Winny Casey katika picha kwenye banda lake.
 Mama Winny Cassey katika picha ya pamoja na Samesh Alfonse (Deputy Chief Representative of the Arab League)
 Banda KEWTU Fashions chini ya mkurugenzi wake Missy Temeke
 Banda la Uganda
 Mama Winny Cassey akimpatia cadi mmoja ya wahudhuriaji wa maonesho hayo yajulikanayo kama Passport DC Signature Event yaliyofanyika chini ya Caltural Tourism.
 Missy Temeke akipata Ukodak Moment.
 Juu na chini ni mwakilishi wa African Union akiwaelekeza jambo wadau waliotembelea banda la AU.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi


3 comments:

Anonymous said...

Wamekuza mambo drama sasa lipi la ajabu hapa maonyesho ya kawaida tu.matatizo ya kufanya haya mambo ukubwani ndio haya.pendaneni.

Anonymous said...

Nyamazeni watanzania tumezidi maneno ndio mana atuendelei.

Anonymous said...

Mdau wa pili wala hujakosea....yaani wamemsakama binti wa watu kiasi hiki loooooooooooo. Yote ni kwasababu ya mafanikio yake, wanadamu mmezidi chuki pale mtu anaposonga mbele na kuonyesha mafanikio. Allah atakuongoza na kukulinda miss temeke. Hakikisha tu unayoyafanya yawe ya halali na yasivuke mipaka sana katika sheria za dini mpenz. Ameen