Balozi Amina Salum Ali Mwakilishi wa kudumu wa African Union Nchini Marekani akiwa kwenye vazi la Kizanzibari katika picha ya pamoja na Afisa wa Habari na Mahusiano wa Afriacan Union ambaye nae alikua akionyesha vazi toka Ethiopia.
Balozi Amina Salum Ali Mwakilishi wa kudumu wa African Union Nchini Marekani katika picha ya pamoja na mratibu wa maonesho Passport DC ambayo Mabalozi mbalimbali wakiwemo wawakilishi wao hupata fulsa ya kuonyesha utamaduni wao vikiwemo vyakula.
Muwakilishi wa kudumu wa ubalozi wa umoja wa afrika Balozi Amina Ali akitambulisha Ubalozi wa umoja wa Afrika kwa mara ya kwanza kuwaelimisha wananchi wa jiji hili la makao makuu ya serikali ya Marekani kuhusu shughuli za Ubalozi huo na mambo mengine muhimu ya Afrika.
No comments:
Post a Comment